• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 30, 2017

  PSG WAICHAPA MONACO 2-1 NA KUBEBA SUPER CUP YA UFARANSA

  Wachezaji wa PSG wakifurahia na taji lao la Super Cup ya Ufaransa baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Monaco usiku wa jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger mjini Tanger. Mabao ya PSG yalifungwa na Dani Alves dakika ya 51 na Adrien Rabiot dakika ya 63, baada ya Djibril Sidibe kuifungia bao la kuongoza Monaco dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PSG WAICHAPA MONACO 2-1 NA KUBEBA SUPER CUP YA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top