Kiungo mpya wa Yanga SC, Raphael Daudi Loth akinyoosha msuli mazoezini kwenye kambi yake timu yake kujiandaa na msimu mpya mjini Morogoro
Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Dombo Ngoma akiwa mazoezini leo mjini Morogoro
Kutoka kulia Juma Mahadhi, Ramadhani Kabwili, Raphael Daudi, Andrew Vincent 'Dante' na Ibrahim Hajib


0 comments:
Post a Comment