• HABARI MPYA

  Jumatatu, Julai 24, 2017

  YANGA WALIVYOJIFUA LEO 'SHAMBA LA BIBI'...HODI HODI MSIMU MPYA

  Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
  Amissi Tambwe akionyesha uimara wake katika umiliki wa mpira
  Mshambuliaji mpya, Ibrahim Hajib akikimbilia mpira leo mazoezini
  Beki wa kulia, Juma Abdul akitafuta maarifa ya kumpita kiungo mpya, Pius Buswita mazoezini leo
  Wachezaji wa Yanga wakikimbia kwa pamoja leo mazoezini Uwanja wa Uhuru
  Beki Kevin Yondan akimsalimia kocha Mzambia, George Lwandamina (katikati) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOJIFUA LEO 'SHAMBA LA BIBI'...HODI HODI MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top