• HABARI MPYA

  Jumanne, Julai 25, 2017

  CHICHARITO SASA MGONGA NYUNDO, ASAINI MIAKA MITATU WEST HAM

  Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez 'Chicharito' akiwa ameshika jezi ya West Ham United baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 16 kutoka Bayer Leverkusen ya Ujerumani akisaini mkataba wa miaka mitatu na atakuwa analipwa Pauni 140,000 kwa wiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHICHARITO SASA MGONGA NYUNDO, ASAINI MIAKA MITATU WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top