• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 30, 2017

  PIQUE AGONGA LA USHINDI, BARCELONA YAIBWAGA REAL MADRID 3-2

  Gerard Pique akiifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 50 ikiilaza 3-2 Real Madrid katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock mjini Miami, Marekani. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya tatu na Ivan Rakitic dakika ya saba, wakati ya Real yamefungwa na Mateo Kovacic dakika ya 14 na Marco Asensio dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PIQUE AGONGA LA USHINDI, BARCELONA YAIBWAGA REAL MADRID 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top