Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi akiwa kwenye Uwanja wa mazoezi wa Simba SC, Eden Vale, Johannesburg nchini Afrika kusini kujiandaa na msimu mpya
Kipa mpya, Said Mohammed Nduda (nyuma kushoto) akiwa na wenzake kwa kambi hiyo ya Simba
Nduda kushoro akizungumza na mchezaji mwenzake kambini


0 comments:
Post a Comment