• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 27, 2017

  SINGANO ATOKEA BENCHI TIMU YAKE YACHAPWA 3-0 MOROCCO

  Winga wa kimataifa wa Tanzania, Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) juzi alitokea benchi kuichezea timu yake mpya, Difaa Hassan El Jadida ya Morocco ikifungwa 3-0 nyumbani na Olympic Club de Safi (OCS) katika mchezo wa kirafiki
  Kikosi kilichoanza hapa Messi aliyejiunga na timu hiyo kutoka Azam FC ya Dar es Salaam hayupo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SINGANO ATOKEA BENCHI TIMU YAKE YACHAPWA 3-0 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top