Winga Mmisri Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kusawazisha dakika ya 20 kufuatia Mualgeria Islam Slimani kuifungia la kuongoza Leicester City dakika ya 12 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Ligi Kuu Asia leo Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Liverpool ilishinda 2-1, bao lake la ushindi likifungwa na Mbrazil Philippe Coutinho dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Perez Hilton's podcast co-host breaks silence on his 'unimaginable' mental
health crisis
-
Perez Hilton was taken to hospital earlier this week following reports of
concerning activity during a livestream, and Chris Booker - who has
co-hosted The...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment