• HABARI MPYA

  Alhamisi, Julai 27, 2017

  NEYMAR AWASHUGULIKIA MAN UNITED, BARCA YAUA 1-0 MAREKANI

  Nyota Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 31 ikiilaza 1-0 Manchester United Alfajiri ya leo Uwanja wa FedExField mjini Landover, Maryland, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR AWASHUGULIKIA MAN UNITED, BARCA YAUA 1-0 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top