Marouane Fellaini akienda juu kuifungia bao la kwanza Manchester United dakika ya 44 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Valerenga Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo, Norway. Mabao mengine ya United yamefungwa na Mbelgiji mwenzake, Romelu Lukaku dakika ya 47 na Scott McTominay dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Manchester United trio resume training ahead of Europa League decider
-
Manchester United have been handed a massive injury boost with Marcus
Rashford, Luke Shaw and Jadon Sancho returning to training ahead of their
season fina...
Dakika 8 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni