Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA), Edgar Watson baada ya kukutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda leo wakisubiri kuunganisha ndege kwenda Libreville, Gabon kwenye Fainali za vijana chini ya umri wa miaka 17 Afrika.
Jamal Malinzi na Edgar Watson walizungumza kwa muda mrefu
Jamal Malinzi na Edgar Watson walizungumza kwa muda mrefu
0 comments:
Post a Comment