Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (katikati) akipongezwa na wenzake, Luis Suarez (kulia) na Neymar Jr. (kushoto) baada ya Alexis Ruano wa Alaves kujifunga dakika ya 63 kuipatia Barca bao la nne katika ushindi wa 6-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza, Vitoria-Gasteiz leo. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Suarez mawili dakika za 37 na 67, Neymar dakika ya 40, Messi dakika ya 59 na Ivan Rakitic dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment