Kevin Gameiro (kushoto) akishangilia bao lake la pili baada ya kusetiwa na mchezaji mwenzake wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Bulgaria usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Gameiro alifunga dakika za 23 na 38, wakati mabao mengine ya Ufaransa yalifungwa na Dimitri Payet dakika ya 26 na Griezmann dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Onana costs Man Utd as Burnley grab draw
-
Keeper Andre Onana costs Manchester United victory as Zeki Amdouni converts
a late penalty to earn a point for relegation-threatened Burnley.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment