Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi asubuhi ya leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa marudiano Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya Algeria Agosti 13, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment