Beki wa Manchester City, Eliaqium Mangala (kushoto) akipambana na mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo. Timu hizo zilitoka 1-1, Fernandinho akianza kuifungia City dakika ya 74 kabla ya Steven Naismith kuisawazishia Everton dakika ya 78.
Jackman & Reynolds react to funny Olympic moments
-
Hugh Jackman and Ryan Reynolds watch and react to funny Olympic moments.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment