• HABARI MPYA

  Saturday, January 17, 2015

  KONGO CHUPUCHUPU KWA EQUATORIAL GUINEA MATAIFA YA AFRIKA

  BAO la dakika ya 87 la Bifouma Koulossa limeinusuru Kongo kulala mbele ya wenyeji Equatorial Guinea katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Kombe la Mataifa ya Afrika mjini Bata leo.  
  Nsue Lopez alitangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 16 na ilibaki kidogo Equatorial Guinea waanze na ushindi.
  Mechi ijayo, Equatorial Guinea watamenyana na Burkina Faso, wakati Kongo itaivaa Gabon mjini Bata Januari 21.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KONGO CHUPUCHUPU KWA EQUATORIAL GUINEA MATAIFA YA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top