Wachezaji
wa timu ya Soka ya Taifa ‘Kilimanjaro Taifa Stars’ wakijifua kwenye Uwanja wa
wa kituo cha Michezo mjini Abidjan juzi
kujiandaa na mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast inayotarajiwa kufayika
kesho kwenye uwanja wa Felix Houphouet-Boigny.
0 comments:
Post a Comment