![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini, Leticia Warioba katikati akihutibia katika Hospitali ya Wilaya ya Manispaa ya Iringa kutoa shukrani kwa SBL kwa kudhamini mradi huo uliogharimu Sh Milioni 50. |
![]() |
| Wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Manispaa ya Iringa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya baada ya uzinduzi wa kisima |
![]() |
| Teddy na Mkuu wa Wilaya kulia wakipagta chakula cha mchana baada ya kuzindua kisima |
![]() |
| Teddy mapunda akimuelekeza jambo Mkuu wa Wilaya, Leticia kuhusu mradi huo. |
![]() |
| Teddy kulia akimuongoza Mkuu wa Wilaya katika zoezi la uzinduzi wa kisima hicho |
![]() |
| Uzindhuzi |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya anafungua maji |
![]() |
| Anamtwisha ndoo ya maji mwananchi wa eneo hilo, ambao nao watanufaika na mradi huo |
![]() |
| Huree; SBL oyee; Tayari ndoo ipo kichwani. asante Serengeti Breweries Limited |
![]() |
| Teddy akicheza ngoma ya Lizombe kusherehekea uzinduzi wa mradi huo |
![]() |
| Teddy akihutubia wananchi kuelezea kuhusu mradi huo |















.png)
0 comments:
Post a Comment