• HABARI MPYA

    Thursday, June 21, 2012

    RAMADHAN SHAURI AONYESHA TAJI LA IBF


     Bondia  Ramadhani Shauli akiwa ameushika Mkanda wa I.B.F Africa wakati ulipokuwa ukioneshwa mbele ya waandishi wa habari baada ya kuwasili Dar es salaam jana ukitokea USA mkanda huo utakaogombaniwa na Shauli na bondia Sande Kizito kutoka Uganda utafanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee kushoto ni Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) Madaraka Nyerere na Promota wa mpambano huoMkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwa picha na .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia Nassibu Ramadhani kushoto na Ramadhani Shauli wakifungu mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauli kushoto na bondia Sande Kizito kutoka Uganda picha na .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comwww.superdboxingcoach.blogspot.com
     
    Ramadhani Shauli akiwa na mkanda wa ubingwa wa IBF Africa .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comwww.superdboxingcoach.blogspot.com
    Bondia  Ramadhani Shauli akiwa ameushika Mkanda wa I.B.F Africa wakati ulipokuwa ukioneshwa mbele ya waandishi wa habari baada ya kuwasili Dar es salaam jana ukitokea USA mkanda huo utakaogombaniwa na Shauli na bondia Sande Kizito kutoka Uganda utafanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee kushoto ni Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) Madaraka Nyerere na Promota wa mpambano huoMkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwa  .Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
    -- 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAMADHAN SHAURI AONYESHA TAJI LA IBF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top