MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Fernando Torres amefunga mabao mawili kwa Hispania, ikiitupa nje ya michuano ya Euro 2012, Jamhuri ya Ireland.