Mwanzo > Untagged BIN ZUBEIRY KATIKA UZI MWEKUNDU LIVE TAIFA BIN ZUBEIRY KATIKA UZI MWEKUNDU LIVE TAIFA Nilikuwa mtu wa mwisho kuondoka Uwanja wa Taifa, ndani ya Uwanja haukutokea uharibifu wa aina yoyote. Hongera mashabiki Simba SC kwa ustaarabu huu, vema mkaendelea ivyo hivyo. Sunday, April 29, 2012
1 comments:
Pamoja sana mkuu, shukrani kwa taarifa na pia ni jambo jema kuona mashabiki wamekuwa wastaarabu kwa kweli.Kila la kheri simba ya Tanzania
Post a Comment