• HABARI MPYA

  Thursday, April 04, 2019

  CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON 3-0 NA KUREJEA NAFASI YA TANO ENGLAND

  Ruben Loftus-Cheek akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 63 kufuatia Olivier Giroud kufunga la kwanza dakika ya 38 na Edin Hazard afunge la pili dakika ya 60 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Ushindi huo unaifanya Chelsea ifikishe pointi 63 baada ya kucheza mechi 32 na kurejea nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England, mbele ya Manchester United yenye pointi 61 na nyuma ya Arsenal yenye pointi 63 pia na wastani wa mzuri mabao pamoja na mchezo mmoja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON 3-0 NA KUREJEA NAFASI YA TANO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top