• HABARI MPYA

    Sunday, April 07, 2019

    ABEID MZIBA ‘TEKERO’ NA LAWRENCE MWALUSAKO ENZI ZAO YANGA SC

    WACHEZAJI wa Yanga SC, Abeid Mziba (kushoto) na Lawrence Mwalusako (kulia) kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1987 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), msimu ambao walifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ABEID MZIBA ‘TEKERO’ NA LAWRENCE MWALUSAKO ENZI ZAO YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top