• HABARI MPYA

  Sunday, May 14, 2017

  MALINZI ALIKUWA ANAZUNGUMZA NINI NA EDGAR WATSON KIGALI LEO?

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA), Edgar Watson baada ya kukutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda leo wakisubiri kuunganisha ndege kwenda Libreville, Gabon kwenye Fainali za vijana chini ya umri wa miaka 17 Afrika.
  Jamal Malinzi na Edgar Watson walizungumza kwa muda mrefu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MALINZI ALIKUWA ANAZUNGUMZA NINI NA EDGAR WATSON KIGALI LEO? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top