• HABARI MPYA

  Thursday, May 18, 2017

  JUVENTUS WAILAMBA LAZIO 2-0 NA KUBEBA NDOO YA COPPA ITALIA

  Mfungaji wa bao la pili la Juventus, Leonardo Bonucci dakika ya 24 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Lazio usiku wa jana kwenye fainali ya Coppa Italia Uwanja wa Olimpiko mjini Roma akishangilia kwa kunywa kupitia Kombe la Italia. Bao la kwanza lilifungwa na beki mwenzake, Dani Alves dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JUVENTUS WAILAMBA LAZIO 2-0 NA KUBEBA NDOO YA COPPA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top