• HABARI MPYA

    Friday, February 17, 2017

    SPURS WAPIGWA KIDUDE UBELIGIJI

    Kiungo wa Tottenham Hotspur, Victor Wanyama akimruka Anderson Esiti wa Gent usiku wa jana Uwanja wa Ghelamco-Arena mjini Gent katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League. Gent ilishinda 1-0 bao pekee la Jeremy Perbet dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS WAPIGWA KIDUDE UBELIGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top