• HABARI MPYA

    Monday, February 06, 2017

    RONALDO ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE HUKU MCHEZO WA REAL UKIAHIRISHWA

    Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa na mwanawe na mama yake wakisherehekea siku yake ya kuzaliwa jana alipotimiza miaka 32, huku mchezo wa timu yake wa La Liga dhidi ya Celta Vigo kuahirishwa kutokana na miale mingi ya moto kurushwa na mashabiki Uwanja wa Rio Alto Balaidos.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE HUKU MCHEZO WA REAL UKIAHIRISHWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top