• HABARI MPYA

  Tuesday, February 14, 2017

  MAANDALIZI YA MWISHO MWISHO ARSENAL KABLA YA KUIVAA BAYERN KESHO

  Wachezaji wa kimataifa wa England, Theo Walcott (kushoto) na Danny Welbeck wakiwa mazoezini na klabu yao, Arsenal kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich nchini Ujerumani kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAANDALIZI YA MWISHO MWISHO ARSENAL KABLA YA KUIVAA BAYERN KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top