• HABARI MPYA

    Sunday, February 05, 2017

    EUBANK JR AMMALIZA QUINLAN RAUNDI YA 10

    Chris Eubank Jnr akiwa na mkanda wa ubingwa wa IBO uzito wa Super Middle baada ya kumshinda kwa Knockout (KO) raundi ya 10 Renold Quinlan usiku wa jana ukumbi wa Olimpia, London, baada ya refa Howard Foster kusimamisha pambano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EUBANK JR AMMALIZA QUINLAN RAUNDI YA 10 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top