• HABARI MPYA

    Monday, February 13, 2017

    BAYERN MUNICH WANAVYOJIANDAA KWA AJILI YA ARSENAL JUMATANO

    Mshambuliaji nyota, Robert Lewandowski akijifua na wenzake katika mazoezi ya Bayern Munich leo kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal Jumatano Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH WANAVYOJIANDAA KWA AJILI YA ARSENAL JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top