• HABARI MPYA

    Monday, October 17, 2016

    YANGA NA AZAM KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI

    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akinyoosha mguu kuondosha mpira katika hatari kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0
    Kiungo wa Azam, Mudathir Yahya akimiliki mpira mbele ya Kamusoko wa Yanga
    Viungo Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam (kushoto) na Said Juma 'Makapu' wa Yanga (kulia)
    Mshambuliaji wa Yanga, Francis Chirwa akiwatoka walinzi wa Azam, Aggrey Morris (kushoto) na Jean Mugiraneza (kulia)
    Kungo wa Yanga, Deus Kaseke (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Azam, Ya Thomas Gonazo
    Wachezaji wa Yanga na Azam wakidhibitiana jana Uwanja wa Uhuru
    Winga wa Yanga, Godfrey Mwashiuya akimtoka kiungo wa Azam, Frank Domayo
    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) na beki wa Azam, Daneil Amoah (kulia)
    Kikosi cha Azam jana Uwanja wa Uhuru
    Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Uhuru
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA AZAM KATIKA PICHA JANA SHAMBA LA BIBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top