Riyad Mahrez akifumua shuti kuifungia Leicester City bao la kusawazisha dakika ya 24, baada ya Jay Rodriguez kuifungia West Brom bao la kuongoza dakika ya 10 katika sare ya 1-1 Uwanja wa Hong Kong mjini Hong Kong, China. Leicester ilishinda kwa penalti 7-6 katika Kombe la Ligi Kuu Asia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2026 Naismith Basketball Hall of Fame: Meet the latest class
-
The Naismith Memorial Basketball Hall of Fame welcomed its eight-person
2026 class on Saturday night.
10 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment