KASEKE ALIVYOKABIDHIWA VIFAA VYA KAZI SINGIDA UNITED
Mtendaji Mkuu wa Singida United, Sanga Festo (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu hiyo kiungo, Deus Kaseke baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Yanga SC kama mchezaji huru akisaini mkataba wa miaka miwili jana
0 comments:
Post a Comment