Cristiano Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 23 na 78 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Sevilla usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Nacho dakika ya 10 na Toni Kroos dakika ya 83, wakati la Sevilla lilifungwa na Stevan Jovetic dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool expect Salah return before end of season
-
Liverpool expect Mohamed Salah to return from injury before the end of the
season after he was forced off against Crystal Palace on Saturday.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment