Nyota Mbrazil, Neymar Junior akionyesha tattoo ya mama yake baada ya kufunga hat-trick dakika za 25, 67 na 71 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Las Palmas usiku wa jana Uwanja wa Gran Canaria kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barcelona lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 27 wakati la Las Palmas lilifungwa na Pedro Bigas dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool expect Salah return before end of season
-
Liverpool expect Mohamed Salah to return from injury before the end of the
season after he was forced off against Crystal Palace on Saturday.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment