Sehemu ya nyumba aliyonunua kiungo wa Manchester United, Mfaransa Paul Pogba kwa bei ya Pauni Milioni 2.9 mjini Cheshire. Nyumba hiyo kubwa, nzuri yenye vyumba vitano vya kulala, bwawa la ndani la kuogelea, sauna na chumba cha habari, inaaminika ilikuwa ya mchezaji wa zamani wa Man United, mshambuliaji Javier Hernandez 'Chicharito' ambaye kwa sasa anachezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment