Mshambuliaji wa Juventus, Mario Mandzukic akiifungia Croatia bao dakika ya 35 kukamilisha hat-trick yake katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji Kosovo usiku wa jana katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Loro Borici, mjini Shkoder baada ya awali kufunga dakika za sita (6) na 24. Mabao mengine ya Croatia yalifungwa na Matej Mitrovic dakika ya 68, Ivan Perisic dakika ya 83 na Nikola Kalinic dakika ya 90+2 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Desmond targeted by Celtic fan protest at Alfred Dunhill
-
Celtic's largest shareholder Dermot Desmond is targeted in a protest at the
Alfred Dunhill Links golf tournament in St Andrews as tennis balls were
thrown ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment