Ciro Immobile akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiilaza 3-2 Macedonia katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Nacionalna Arena Filip II Makedonski mjini Skopje. Immobile alifunga bao lingine kabla ya hilo dakika ya 75, wakati bao lingine la Italia lilifungwa na Andrea Belotti huku mabao ya Macedonia yakifungwa na Ilija Nestorovski dakika ya 57 na Ferhan Hasani dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment