Mshambuliaji wa Ubelgiji, Christian Benteke baada ya kufunga bao la mapema zaidi katika ya Kombe la Dunia usiku wa jana sekunde ya saba katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Gibraltar Uwanja wa Estadio Do Algarve mjini Sao Joao da Venda. Katika mchezo huo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi, Benteke alifunga mabao matatu dakika za kwanza, 43 na 56, wakati mengine yalifungwa na Axel Witsel dakika ya 19, Dries Martens dakika ya 51 na Eden Hazard dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment