• HABARI MPYA

    Friday, November 01, 2013

    NANI MTANI JEMBE BOONGE LA BONANZA NDANI YA SONGEA...MASHABIKI SIMBA NA YANGA MPOOOO?

    Baada ya mashabiki wa Simba na Yanga kutoana jasho katika mikoa ya Mbeya, Mwanza na ArushaBonanza la Kili Nani Mtani Jembe sasa linahamia SONGEA.  Mashabiki wa timu hizi kubwa watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
       Kuvutana kamba!!.
       Foos Ball!!
       Soka la wachezaji saba kila upande aka “Seven aside” nk,
    Nyama Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo.
    § Bonanza hili la Kili Nani Mtani jembe Songea linafanyika Jumapili hii kuanzia saa nne asubuhiHakuna kiingilio na wote mnakaribishwa sana!.

    §   Je wewe ni shabiki wa Simba au Yanga???!!! Njoo usaidie timu yako kuibuka na mkwanja huu mnene wa Kampeni ya Kili Nani Mtani Jembe!.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NANI MTANI JEMBE BOONGE LA BONANZA NDANI YA SONGEA...MASHABIKI SIMBA NA YANGA MPOOOO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top