// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); EL SHAARAWY WA AC MILAN NA SWAHIBA WA BALOTELLI ANAYETAKIWA NA CITY ALIKUWA MANCHESTER JUZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE EL SHAARAWY WA AC MILAN NA SWAHIBA WA BALOTELLI ANAYETAKIWA NA CITY ALIKUWA MANCHESTER JUZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Saturday, October 19, 2013

  EL SHAARAWY WA AC MILAN NA SWAHIBA WA BALOTELLI ANAYETAKIWA NA CITY ALIKUWA MANCHESTER JUZI

  WINGA wa AC Milan na Italia, Stephan El Shaarawy alipigwa picha akiwa na kibegi anakatiza jiji la Manchester katika kitongoji cha Chorlton Alhamisi usiku.
  Mshambuliaji huyo kinda amekuwa kihusishwa kwa kiasi kikubwa na kuhamia Manchester City na kuonekana kwake katika saluni mjini humo kunazalisha swali, alikufanya anafanya nini?
  Bahati mbaya kwa mashabiki wa City, jibu halihusiani kabisa na uhamisho wake - kwani alikuwa huko kwa ajili ya kupiga picha za video ya tangazo jipya la biashara la Samsung kwa ajili ya Televisheni.

  Nywele leo, kuondoka kesho: Stephan El Shaarawy akiingia katika saluni eneo la Chortlon juzi

  Tangu aibuke katika kikosi cha kwanza mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 18 tu, El Shaarawy amekuwa mmoja wa wachezaji teemeo wa AC Milan.
  Mshambuliaji wa zamani wa Man City, Mario Balotelli aliungana na mchezaji huyo mwaka jana katika klabu hiyo na kwa pamoja wawili hao wamepewa jina 'sura za Italia mpya', wakiwa kivutio katika ligi kwa mfumo wao wa maisha na aina ya uchezaji wao.
  Man City transfer target and AC Milan footballer Stephan El Shaarawy is spotted in Chorlton, Manchester on Thursday evening
  AC Milan's Stephan El Shaarawy celebrates after scoring against Torino
  Kutoka Milan hadi Chorlton: El Shaarawy ni mchezaji wa kikosi cha kwanza Milan - na inaonekana atabaki huko
  Former Man City striker Mario Balotelli and El Shaarawy are good friends, and teammates at both club and national level
  Waili wa utani: Mshambuliaji wa zamani wa Man City, Mario Balotelli na El Shaarawy ni marafiki wazuri, na wanacheza pamoja katika klabu na timu ya taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EL SHAARAWY WA AC MILAN NA SWAHIBA WA BALOTELLI ANAYETAKIWA NA CITY ALIKUWA MANCHESTER JUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top