• HABARI MPYA

    Monday, March 04, 2013

    PATI LA MIAKA 35 YA MTU MZIMA BIN ZUBEIRY LILIVYOFANA NDANI YA CITY SPORTS LOUNGE USIKU WA JANA

    Dina Ismail akimlisha keki mumewe, Bin Zubeiry katika sherehe ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa mumewe huyo, iliyofanyika kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, Dar es Salaam usiku wa jana. 

    Pendo Msuya wa Channel Ten, akiwa na Prince Akbar, mtoto wa Bin Zubeiry katika sherehe hiyo 

    William Malecela akiwa na Prince Akbar

    Mama na wana; Dina Ismail akiwa wanawe, Princess Asia na Prince Akbar 

    Dina na makinda yake

    Baba na mwana; Bin Zubeiry akiwa na mwanawe, Prince Akbar

    MC Mwani kulia akiwa Lisa kutoka Uingereza ambaye anajiandaa kufungua shampeni

    Watu wanaserebuka

    Bin Zubeiry akimlisha keki Sanga Festo wa Habari Mpasuko Blog

    Bin Zubeiry akimlisha keki kijana wake ambaye yuko tayari kutembea kwa miguu, kulala na njaa lakini asisaliti, Elius Kambili

    Watu wanaserebuka bwana...

    Dina akiwa rafiki zake

    Mwani na Zai wakila mangoma 

    Bin Zubeiry baada ya kumlisha keki Jennifer Ulembo

    Esther Raphael akiwa na Mapacha watatu wa Bin Zubeiry...

    Bin Zubeiry akimlisha keki mtoto Nana mbele ya 'Mlinzi' wake, Paul de Hood

    Watu kwa raha zao kwenye pati la swahiba wao

    Pendo Msuya kulia na Esther Raphael...

    Miaka 35...Bin Zubeiry mtu mzima sasa, bado miaka mitano tu agombee urais wa nchi

    Bin Zubeiry akimlisha keki mshkaji wa kitaa chake, Philip Mbonde

    Mapacha Watatu, kulia Princess Asia, kushoto Prince Akbar na katikati Precious Boniface 

    Bin Zubeiry akimlisha keki binti yake wa kwanza, Zai

    Baba na Mama wakikata keki

    Bin Zubeiry akimlisha keki mama yake wa kambo, Mwani Nyangassa

    Bin Zubeiry akimlisha keki kijan wake Suleiman Shineni

    Bin Zubeiry akimlisha keki Pendo Msuya

    Bin Zubeiry akimlisha keki 'laazizi' wake, Princess Asia 

    Bin Zubeiry akimlisha keki rafiki yake, Esther Raphael

    Bin Zubeiry akimklihsa keki Lisa wa UK

    Bin Zubeiry akimlisha keki bosi wake, Prince Akbar

    Bin Zubeiry akimlisha keki dada yake wa mama mbalimbali... Asha Muhaji 

    Bin Zubeiry akimlisha keki rafiki yake, Zee la Totooz

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: PATI LA MIAKA 35 YA MTU MZIMA BIN ZUBEIRY LILIVYOFANA NDANI YA CITY SPORTS LOUNGE USIKU WA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top