• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 27, 2013

  YANGA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA TAIFA LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI

  Mshambuliaji wa Yanga, Mrundi Didier Kavumbangu akikosa bao la wazi yeye na kipa wa Kagera Sugar, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliofanyika jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0.

  Beki wa Kagera, Benjamin Asukile akmkwatua winga wa Yanga, Simon Msuva

  Beki wa Kagera Martin Muganyizi akipitia mpira miguuni mwa Simon Msuva 

  Hatari kwenye lango la Kagera

  Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka Juma Nade

  Mfungaji wa bao pekee la ushindi la Yanga leo, Haruna Niyonzima akipokea zawadi ya fedha kutoka kwa mashabiki baada ya mechi

  Simon Msuva akimuacha chini Juma Nade 

  Shijja Mkinna wa Kagera akituliza mpira uliopita beki wa Yanga, Oscar Joshua kushoto. kulia ni Melegesi Mwangwa.

  Kikosi cha Kagera Sugar leo

  Kikosi cha Yanga leo

  Simon Msuva akituliza mpira gambani mbele ya beki wa Kagera 

  Kipa wa Kagera Sugar, Hannington Kalyesebula akielekea kudaka mpira mbele ya Said bahanuzi wa Yanga

  Beki wa Kagera, Benjamin Asukile akimiliki mpira mbele ya Simon Msuva wa Yanga

  Kiungo wa Yanga, Frank Domayo akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Kagera

  Said Bahanuzi akimuacha chini malegesi Mwangwa

  Frank Domayo akimiliki mpira mbele ya George Kavilla aliyelala chini kuutafuta 

  Haruna Niyonzima akituka kwanja la Martin Muganyizi

  Niyonzima akimkokota mtu

  Domayo anafumua shuti

  Bahanuzi anapasua

  Bahanuzi akiwatoka mabeki wa Kagera

  George Kavilla aliyeruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya mchezaji wa Yanga

  Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga akimtoka George Kavilla wa Kagera Sugar kushoto

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA TAIFA LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top