![]() |
| Kiungo wa Azam, Kipre Balou akifunga viatu wakati wa mazoezi leo jioni |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam, Brian Umony akiteleza kupiga mpira mbele ya Kipre Balou |
![]() |
| Kocha wa mazoezi ya viungo wa Azam, Ibrahim Shikanda akiongoza mazoezi hayo jioni ya leo |
![]() |
| Daktari wa Azam FC, Paulo Gomez akiwasili kazini |
![]() |
| Makocha wa Simba, Talib Hilal (kulia) na Mfaransa, Patrick Liewig (kushoto) wakizungumza na kocha wa Azam, Muingereza, Stewart Hall |
![]() |
| Beki wa Azam, Joackins Atudo akinyoosha viungo |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam, John Bocco 'Adebayor' akinyoosha viungo |
![]() |
| Brian Umony |
![]() |
| Kocha Msaidizi wa Azam, Kali Ongala mazoezini |
![]() |
| Mshambuliaji gaudence Mwaikimba akimtoka beki |
![]() |
| Vijana wanapasha, hakuna mzaha |
![]() |
| Kinywele kimoja, Abdulhalim Humud 'Gaucho' |
![]() |
| Mambo yanaenda; Viongozi wakifuarahia mazoezi |
![]() |
| Aka! Mambo ya Shikanda we acha tu |
![]() |
| Beki majeruhi, Sammih Hajji Nuhu akizungumza na simu kwenye benchi, wakati wenzake walio fiti wanaendelea na mazoezi |
![]() |
| Wachezaji wa Azam wakimpongeza kocha wao wa mazoezi ya viungo, Shikanda |
![]() |
| Kocha hadi anabebwa kwa mazoezi mazuri |
![]() |
| Full kupasha Azam FC, kesho itakuwaje Wasudan Taifa? |





















.png)