• HABARI MPYA

    Sunday, February 17, 2013

    SIMBA SC NA LIBOLO KATIKA PICHA TAIFA LEO

    Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa akimtoka mchezaji wa Recreativo de Libolo ya Angola,Dario Cardoso katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Libolo ilishinda 1-0.

    Ngassa akimtoka beki wa Libolo, Antonio Cassule

    Haruna Chanongo wa SImba akipasua katikati ya wachezaji wa Libolo

    Ngassa akimtoka Cassule

    Ngassa na Cassule

    Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba (kushoto) akiwania mpira dhidi ya beki wa Libolo, Pedro Ribeiro kulia

    Simba na Libolo wakiingia uwanjani

    Kikosi cha Libolo leo

    Simba wakiomba dua na nyuma yao ni Libolo pia wakiomba dua 

    Kikosi cha Simba SC leo

    Wachezaji wa Simba SC wakiwapungia mikono mashabiki wao kabla ya mechi

    Mrisho Ngassa akipiga krosi baada ya kufanikiwa kumtoka beki wa Libolo

    Kipa wa Simba, Juma Kaseja akienda kuokota mpira nyavuni baada ya Libolo kufunga bao

    Libolo wakiwapungia mikono mashabiki wa Yanga baada ya mechi kuwashukuru kwa kuwashangilia

    Haruna Moshi 'Boban' (kushoto) akipiga shuti mbele ya beki wa Libolo

    Beki wa Simba, Juma Nyosso akimiliki mpira  mbele ya beki wa Libolo

    Haruna Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Libolo

    Kiungo wa Libolo, Manuel Lopez akiondoka na mpira baada ya kumzidi maarifa Mwinyi Kazimoto wa Simba SC

    Manuel Lopez kulia akigombea mpira na Mwinyi Kazimoto wa Simba SC kushoto

    Mwinyi Kazimoto akigombea mpira wa juu na kiungo wa Libolo

    Beki wa Simba SC, Shomary Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Libolo

    Haruna Moshi 'Boban' akimtoka beki wa Libolo

    Amri Kiemba akimtoka beki wa Libolo

    Mwinyi Kazimoto wa Simba akigombea mpira wqa juu na kiungo wa Libolo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC NA LIBOLO KATIKA PICHA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top