• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 21, 2013

  SHEREHE ZA TBL KUKABIDHI BASI LA TAIFA STARS ZILIVYOFANA LEO DAR

  Basi la timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars likiwa limepaki ndani ya Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Ilala, Dar es Salaam tayari kukabidhiwa kwa uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) asubuhi ya leo.


  Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia wakati wa kukabidhi basi la taifa Stars

  Beki wa Taifa Stars, Erasto Nyoni akishuka kwenye basi hilo

  Kocha wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen akishuka kwebye basi hilo

  Kocha Kim akiwa ameketi ndani ya basi na Nyoni

  Nyoni akipanda basi

  Msaa wa kundi la Wanne Star, akiwa amepaka rangi za bendera ya taifa, kuashiria mapenzi kwa timu yake ya taifa, Taifa Stars

  Rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia akiteta jambo na Katibu wake, Angetile Osiah kushoto. Katikati ni Kim Poulsen

  Kutoka kulia Kim Pouslen, Tenga, Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche, Meneja Masoko wa TBL, Kushila Thomas na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Kavishe wakati wa makabidhiano ya mfano wa ufunguo wa gari hilo

  Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu kulia akiwa na mwandishi wa Star TV, Joyce Nsiima 

  Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni akiwa na Nyoni kushoto 

  Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche akihutubia

  Kushila kulia na Tenga kushoto wakifuatilia DVD ya basi la Taifa la Stars 

  Hapa joto lilizidi, Tenga akijipepea na kujifuta kulia na Kim akijifuta jasho

  Wasanii wa kundi la Wanne Star wakitoa burudani

  Tenga akiwaelekeza jambo, Kim na Angetile

  Tenga akihutubia 

  Vijana wa Wanne Star wakifanya vitu vyao

  Vijana wa Wane Star wakifanya mambo yao

  Vijana wa Wane Star hao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SHEREHE ZA TBL KUKABIDHI BASI LA TAIFA STARS ZILIVYOFANA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top