• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 18, 2013

  MTIGINJOLA AGOMA KUMREJESHA MALINZI KUGOMBEA URAIS TFF

  Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Iddi Mtiginjola amesema hawezi kutengua maamuzi yake ya kumuengua Jamal Malinzi (pichani) kugombea urais wa shirikisho hilo. Mtiginjola amesema hayo leo mchana wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa TFF, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Habari kamili itafuatia punde.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MTIGINJOLA AGOMA KUMREJESHA MALINZI KUGOMBEA URAIS TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top