• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 19, 2013

  HATIMAYE FIFA WAJA KUTATUA SAKATA LA MALINZI TFF

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chillah Tenga akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, kuzungumzia ujio wa Maofisa wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) nchini mwezi ujao kupitia sakata la kuenguliwa kwa Jamal Malinzi kugombea nafasi ya urais wa shirikisho hilo. Habari itafuatia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: HATIMAYE FIFA WAJA KUTATUA SAKATA LA MALINZI TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top