• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 23, 2013

  VODACOM YAWALETEA BONGE LA ZALI MASHABIKI WA SOKA KUPITIA M-BET

  Mkuu wa Chapa ya Vodacom, Kevin Twissa akijadiliana jambo na Meneja na Meneja Mawasiliano ya Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu jana usiku wakati hafla ya uzinduzi wa mchezo wa M-Bet unaowawezesha mashabiki wa soka nchini kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali ya soka na kujishindia. Fedha, iliyofanyika kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, Dar es Salaam.    

  Kevin Twissa akifafanua jambo kuhusu M -Bet

  Kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Michezo ya Kubahatisha, Tarimba Abbas akizungumzia mchezo wa M-Bet na kushoto ni Twissa akimskiliza kwa makini

  Meneja Miradi wa m-Bet, Richard Mushi akifafanua jambo jana

  Waalikwa wakifuatilia

  Waalikwa wakiburudika na kufuatilia maelekezo ya M-Bet 

  Kevin Twissa akizungumza kwa msistizo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: VODACOM YAWALETEA BONGE LA ZALI MASHABIKI WA SOKA KUPITIA M-BET Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top