![]() |
| Mshambuliaji tishio wa Simba, Mrisho Ngassa akifunga viatu wakati wa mazoezi |
![]() |
| Mazoezi yasiyo na mzaha ndani yake |
![]() |
| Haruna Moshi 'Boban' akimiliki mpira mazoezini |
![]() |
| Vijana wa Simba SC wakipasha |
![]() |
| Hakuna mzaha Simba SC, Libolo lazima litafunwe Jumapili |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Simba SC, Abdulfatah Salim Saleh akiwasili mazoezini leo |
![]() |
| Kama unavyoona Amri Kiemba anakusanya upepo |
![]() |
| Mshauri wa Ufundi wa Simba SC, Talib Hilal akielekeza jambo mazoezini |
![]() |
| Kocha Mfaransa wa Simba, Patrick Liewig akijadiliana mambo na Kocha Muingereza wa Azam, Stewart Hall |
![]() |
| Boban hadi ameloana...haikuwa mzaha leo. Hii lazima Libolo afe Jumapili |
![]() |
| Nahodha Msaidizi wa Simba SC, Shomary Kapombe akinyoosha viungo |
![]() |
| Kiungo bora kabisa kwa sasa Tanzania, Mwinyi Kazimoto Mwitula akinyoosha viungo |
![]() |
| Unaweza kujionea morali iko juu kwa kila mchezaji |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto anausaka upepo |
![]() |
| Kipa Kaseja akiokoa moja ya hatari langoni wakati wa mazoezi |
![]() |
| Mussa Mude akiruka vihunzi wakati wa mazoezi |
![]() |
| Kocha wa makipa, James Kisaka akimnoa Kaseja |
![]() |
| Komabil Keita akiwa juu |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto utampenda tu kwa ufundi wake, hapa Nassor Masoud 'Chollo' ananyoosha mguu kiushahidi tu |
![]() |
| Juma Said Nyosso akimiliki mpira mazoezini |























.png)